September 05, 2009

Mwongozo wa waathirika wa VVU wazinduliwa.

Mama Kikwete akitoa nasaha zake.
Mke wa Rais, Salma Kikwete akihutubia Kongamano la Mwongozo wa kupinga unyanyapaa dhidi ya waathirika wa Ukimwi Dar es Salaam leo. Pia alizindua Mwongozo huo wa Kupinga unyanyapaa kwa waathirika.

No comments:

Post a Comment