
Mwanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ akiingia kwa mtindo wa Mfalme kuashiria uzinduzi rasmi wa albamu yake binafsi iitwayo ‘Side Mirror’.

Baadhi ya wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ kutoka kushoto, Stefania Machuda, Aaliyah Moses na Lily Mkwajuni wakisindikiza uzinduzi wa albamu binafsi ya msanii mwenzao, Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ iitwayo ‘Side Mirror’.

Mwanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ akihudumiwa kama mfalme katika onyesho la uzinduzi rasmi wa albamu yake binafsi iitwayo ‘Side Mirror’ katika ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wapenzi wa burudani wakiselebuka katika uzinduzi wa albamu binafsi ya mwanamuziki wa bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ iitwayo ‘Side Mirror’ katika ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam juzi. Uzinduzi huo ilidhaminiwa na Tigo.
No comments:
Post a Comment