September 26, 2009

Fresherz party

Fresherz party imewadia Once Again.....!!

Ni swala zima la kujiachia kukaribisha fresherz...kwa aina yake kwanza AFRICAN Nite tar. 1 oct ndani ya TNT,tuone khanga zinavaliwaje na wabantu kwenye Runway.Kisha tunarusha bonge la party ndani ya YOUNG ISLAND tar 3 oct.Usijali, We gonna make it happen........Pia kuatakuwa na burudani kibao ikiwa na maswala mazima ya swimming...
Wasiliana na wahusika Sean +919742039294
na Baby Bosco +919886166097...
Pa-1!

No comments:

Post a Comment