September 07, 2009

Baba Tau ni noma

KUTOKANA na matukio ya kuungua moto kwa mabweni ya shule, zisipochukuliwa hatua madhubuti, madenti wengi kusoma kwao kutakuwa kwa mashakamashaka wanapokuwa shuleni!

No comments:

Post a Comment