KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 06, 2009
Msaada wa Father Kidevu
Nakula dili nipate mahela....Father Kidevu akitoa msaada kwenye tuta. Duh jamaa wanakazi sana hawa.
msaada tutani huo, undugu na umoja.
ReplyDeleteSafi sanaa Kaka.
ReplyDeletekama tunataka mabadiliko,tuanze wenyewe huu ni mfano wa kuigwa.