August 06, 2009

Msaada wa Father Kidevu

Nakula dili nipate mahela....Father Kidevu akitoa msaada kwenye tuta. Duh jamaa wanakazi sana hawa.

2 comments:

  1. msaada tutani huo, undugu na umoja.

    ReplyDelete
  2. Safi sanaa Kaka.

    kama tunataka mabadiliko,tuanze wenyewe huu ni mfano wa kuigwa.

    ReplyDelete