KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 12, 2009
Mkutano wa Mazingira Korea
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Ras Mazingira Mh. Dkt Batida Burian, akiwasilisha mada ya 'Green New Deal' Mpango mpya wa Kijani katika siku ya pili ya Kongamano la Kimataifa la Mazingira Linalofanyika Mjini Incheon Nchini Korea ya Kusini.
No comments:
Post a Comment