KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 21, 2009
Mkutano wa Jadi
Vijana wakazi wa dar es Salaam wa jamii ya wamaasai wakiwa katika mkutano wao jana katika magorofa ya Shirika la Nyumba Ilala Boma wakijadili mambo mbalimbali ya maendeleo yao.
No comments:
Post a Comment