KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 14, 2009
Maonesho ya Wajasiriamali Dar es Salaam
Wakazi wa Dar es Salaam wakiangalia bidhaa katika banda la mkoa wa Arusha lililopo katika maonesho ya wajasiriamali yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jana.
No comments:
Post a Comment