August 05, 2009

Fainali ya Miss Temeke

Miss Temeke 2009, Sara Naskoi (katikati) akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa mshindi pamoja na mshindi wa pili Fatma Yassin (kushoto) na Mshindi wa tatu Samira Kafunda Dar es Salaam Agosti 2 2009.
Warembo wakifungua shoo.
vazi la usiku
Vazi la ufukweni
Tano bora ya Miss Temekee hii hapa.

1 comment:

  1. Haya ndo mambo tunayoyataka bro. Big up.

    Naw yu a toking.

    Lete vitu vingine Kaka

    ReplyDelete