KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 10, 2009
Bodi ya Makndarasi
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Sheria za Bodi ya Usajili ya Makandarasi wakiwa katika picha ya pamoja mjini Morogoro leo baada ya waziri wa Katiba na Sheria mathias Chikawe katikati kufungua semina hiyo.
No comments:
Post a Comment