August 07, 2009

Basi la Jordan laua 10 Singida

Mmoja wa majeruhi katika ajali ya basi la Jordan lenye namba T.562 AAMwa ajali hiyo, Mary Shalue (28) mkazi wa wilaya ya Iramba akimnyonyesha mtoto wake baada ya kupatiwa huduma ya kwanza katika hospitali ya mkoa Singida kabla ya uchunguzi zaidi jana. watu kumi walikufa papo hapo na wengine 35 kujeruhiwa.
Majeruhi akipelekwa wodini. Blogu hii ya jamii inawapa pole wafiwa wote na kuwatakia afya njema majeruhi./Picha www.habarileo.co.tz

No comments:

Post a Comment