KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 15, 2009
Usiku wa Kanga Dodoma
Asia Idarous akionesha waandishi moja ya kazi zake za ubunifu wa mitindo kwa kutumia vazi la Kanga ambalo Julai 17 2009 mjini Dodoma anakwenda kuonesha. Idorous akizungumza na mmoja wa wadhamini wa onesho hilo kutoka Kalunde Banda.
No comments:
Post a Comment