July 30, 2009

Ndo ninavyoishi Dar es Salaam

Msinizingue nwaambia ohoo!!
Wakiniacha nitakimbia balaa!!
Wamenitaiti ngoja nijifanye nimegongwa na gari
Aha! Inuka wewe unazuga....
Haya ndo maisha....!Mshikaji huyu alituhumiwa kukwapua kipochi cha mtu katikati ya jiji vijana waliamua kumpa kinacho stahili kwa kazi yake hiyo.

1 comment: