KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 13, 2009
Mfugo wa mama Pinda huu
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwaonyesha sungura watoto wa Kijiji cha Matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima ambao aliwaalika nyumbani kwake Mjini Dodoma , Julai 12, 2009. Nimeipenda sana hii mifugo enzi hizo nilikuwa nayo mingi.
No comments:
Post a Comment