KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 30, 2009
Bismini kupendeza
Mtunza Bustani ya maua iliyopo katika Mzunguko wa Askari katikati ya jiji la Dar es Salaam. Maua ya awali yaliyokuwa msitu hapo yamekatwa na sasa shughuli inaanza upya ya kuipendezesha.
No comments:
Post a Comment