June 29, 2009

wanafamilia waliokufa ajali ya mato waagwa.

Baadhi ya waombolezaji wakipita kutoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu watano wa familia moja waliokufa kwa ajali ya moto mwishoni mwa wiki jijini wakati wa kuaga miili hiyo, Kigogo Mburahati jana.

No comments:

Post a Comment