KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 24, 2009
Ndizi Sekei
Mkazi wa Sekei mkoani Arusha akiuza ndizi kijijini hapo juzi. Mkungu mmoja wa ndizi huuzwa kati ya sh 5,000/= na 7,000/= kulingana na ukubwa wake.
No comments:
Post a Comment