June 29, 2009

Cheyo atimuliwa Bungeni na Spika

Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo akitoka nje ya ukumbi wa Bunjge Mjini Dodoma Juni 29, 2009 baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Spika wa Bunge Samwel Sitta kwenye kikao cha jioni.

2 comments:

  1. AnonymousJune 30, 2009

    Bunge la Wendawazimu huendeshwa kiwazimu wazimu tu.

    ReplyDelete
  2. Haya ndo mambo ya HOVYO HOVYO aliyoyakataa Mhe. Zito Kabwe haya. Mweeh!

    ReplyDelete