KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 28, 2009
Boti Dar es Salaam
Boti na Meli zikiwa katika bandari ya Dar es Salaam safari kati ya Dar es sa lamaa na Unguja Zanzibar na mikoa ya Pwani ya bahari ya Hindi.
No comments:
Post a Comment