KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
May 24, 2009
Wabunifu wa mavazi
Wabinifu wa mitindo mbalimbali ya mavazi Hadija Mwanamboka na Musatafa Hassanali wakiwa katika pozi wakati wa harambee ya kuchangia fedha kwaajili ya watoto walemavu usiku wa kuamkia leo Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment