May 21, 2009

Moto Motisun




Pilika pilika za moto katika Kiwanda cha Motisun Holdings Mikocheni Dar es Salaam ulioteketeza ghala la kiwanda hicho lililoshika moto juzi . Kwa mujibu wa maofisa wa kiwanda hicho, moto huo uliteketeza vifaa mbalimbali vya zamani vilivyohifadhiwa kiwandani hapo yakiwamo magodoro.

No comments:

Post a Comment