April 03, 2009

Tutaweza na amri hii?

Ilani hii ikifanikiwa jiji litakuwa swafii....

1 comment:

  1. Ni vizuri ikiwa wa weka notes kama hizi sehemu za mjini ili mji uwe safi siku zote na upendeze, Lakini kuna mistake katika hio notes hapo itakua (Atua kali) au Hatua kali za kisheria..!!??

    ReplyDelete