KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
April 12, 2009
Shamra Shamra za PASAKA Ufukweni
Raha ya maji ni kuyaoga....hawa waliamua kuoga. wengine walikuwa wakibembea bila kujali wakubwa au watoto.
Wengine walikuwa watazamaji tu katika kuadhimisha siku kuu ya pasaka katika ufukwe wa Coco Beach Dar es salaam Aprili 12 2009.
No comments:
Post a Comment