April 15, 2009

JK apangua Wakuu wa Mikoa 11

Jamaa ni kama Patric Tsere anamwambia Kandoro..'mkuu nilianza mimi kuengulia katika uongozi kaniweka benchi na sijui hatma yangu...leo kakuhamisha na wewe pole sana"Kandoro amehamisha Dar es Salaam na nafasi yake kuchukuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Lukuvi.

No comments:

Post a Comment