Bendi hiyo iliundwa na Adolf Mbinga ,Prince Mwumini Juma,Mashaka Karunde,nk kesho watakaumbuka enzi zao wanenguaji ambao wataongoza jahazi la unenguaji ni Amina Rusha Roho,Grece Kiza Kinene,na Queen Vero.
KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
March 27, 2009
Mchinga Sound kukumbukwa kesho Vatcan
Bendi hiyo iliundwa na Adolf Mbinga ,Prince Mwumini Juma,Mashaka Karunde,nk kesho watakaumbuka enzi zao wanenguaji ambao wataongoza jahazi la unenguaji ni Amina Rusha Roho,Grece Kiza Kinene,na Queen Vero.
No comments:
Post a Comment