March 29, 2009

Mambo ya Nyama choma na Safari Lager 2009

Mtaalam wa kuchoma nyama kutoka bar ya Nguruko Mbezi akifanya vitu vyake wakati wa fainali za Nyama Choma na Safari Lager Dar es Salaam leo.Majaji wakitafiti ubora na utamu wa nyama kutoka katika bar zilizoingia fainali. Burudani ilikuwepo ya kukata na wembe...
Ilikuwa raha teleee....

No comments:

Post a Comment