December 12, 2008

Ofisi ya Waziri yawaka moto

Msemaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii George Matiko akionyesha namna moto ulivyoteketeza ofisi ya Waziri pamoja na sehemu ya Ofisi ya Katibu Mkuu wake Dar es Salaam jana usiku.

No comments:

Post a Comment