December 03, 2008

Kigamboni yapata kivuko kipya

Watoto wakazi wa Dar es Salaam wakiangalia kivuko kipya cha Mv magogoni kilicho kuwa kimetia nanga katika gati ya Feri jana. Kivuko hicho kinataraji kuanza kutoa huduma wakati wowote kuanzia sasa.
Kivuko kipya cha Mv Magogoni

Gari la kontena likishuka katika kivuko kipya.


No comments:

Post a Comment