KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
December 08, 2008
Jamani Parapanda.............
Parapanda ya X Mass imeanza kulia katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na dunaini kote, mambo ya viwalo kwa familia na mbuzi na safari za kwetu sasa ndio mwake. lakini tukumbuke watoto wasiache kwenda shule mwakani.
No comments:
Post a Comment