December 21, 2008

Fally Ipupa na Mbili Abel walivyo funika Dar es Salaam

Moto wa Fally Ipupa ukiwaka jukwaani.
Kamanda Fally Ipupa akikamua mistari
Akina Papaa fulani katika kutafuta umaarufu walipanda jukwaani na kumwaga fedha kwa Fally Ipupa
Waliopiga picha kama akina Kinyaiya walionyeshana hapo hapo
Mashabiki walipagawa kila kila mmoja kivyake

Ilikuwa ni full kujiachia
Bingwa wa minenguo Mbili Abell akikatika na mshabiki
Mbili Abell aliingia ukumbini kwa staili hii.
Huu moto ni hatari kama wa Ngasuma








No comments:

Post a Comment