Yeyote mwenye chochote awasiliane nami na tutamsaka dada huyu na msaada umfikie.
KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
December 25, 2008
Ajifungua mapacha watatu mkesha wa X Mass
Yeyote mwenye chochote awasiliane nami na tutamsaka dada huyu na msaada umfikie.
Pole dada MUNGU atakusaidia kukuza wanao.Swali kwa wasomaji wote,Mi najua pacha ni kwa vitu viwili,watoto tunaita hivyo wakizaliwa wawili kwa mpigo.sasa wamezaliwa watoto watatu kwa kiinglishi mie nadhani wanaitwa triplets.kiswahili sijui inatafsiriwaje ila MAPACHA ni wakiwa wawili.Anayejua tasfiri yao nitashukuru kupewa mwanga katika hili.
ReplyDelete