November 02, 2008

UVCCM na UWT wakabidhi ofisi Kinondoni

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake CCM (UWT) , Wilaya ya Kinondoni Angela Kizigha na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya hiyo Emmanuel Tamila wakiweka saini katika vitabu vya wageni wakati wa makabidhiano ya ofisi Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment