KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
November 13, 2008
UDSM walipoondoka Chuoni
mwanafunzi wa UDSM akiondoka chuoni hapo na mazagazaga yake.
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani wakiimba wimbo kabla ya kutimuliwa chuoni hapo Novemba 12 2008.
Naweza kupata contact za huyu dada alievaa kofia? Hapaswi kuhangaika kiasi hiki.
ReplyDeletehuyu dem anaitwaa rehema chao? kama na mfananisha hivi mimi jeremia korea.
ReplyDelete