November 02, 2008

Maisha ya Msasani Bonde la Mpunga

Mkazi wa Msasani Bonde la Mpunga akipita katika matofali kukwepa maji machafu yatiririka kutoka katika makazi ya watu. Wakazi wa maeneo haya huenda wakakumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana uchafu wa mazingira uliopo.

No comments:

Post a Comment