KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
November 19, 2008
JK azuru Libya
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi katika Ikulu ya Tripoli Novemba 18 2008. Rais Kikwete alifanya ziara ya kikazi ya siku moja nchini Libya.
No comments:
Post a Comment