September 23, 2008

Mambo ya Remtula Uingereza





Vimwana toka Mohagany Models nchini Uingereza wajkionyesha mavazi yaliyobuniwa an Ally Remtula wakati wa maonyesho ya mavazi yaliyofanyika katika jumba la Makumbusho nchini Ungereza.

No comments:

Post a Comment