August 13, 2008

Shein ana Wanafunzi

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed shein akizungumza na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Cuba wakati wa ziara yake nchini humo.Dk Shein aliwataka wanafunzi hao kuzitumia vyema nafasi hizo za masomo na baada ya kuhitimu warudi kulitumiakia Taifa lao

1 comment:

  1. Mh. Shein. Nafikiri mpaka hao wanafunzi wakimaliza shule na nchi yenyewe hata kwa kukaa kutakua hamna. Maana ardhi zinauzwa hovyo kwa wageni, nahofia tunaweza tukawa kama Wapalestina. Hivyo nyie viongozi, rekebisheni hali ya nchi, ilivyo sasa ni afadhali miaka 20 ya nyuma. Wajengeeni mnaowabomorea nyumba zao, hawana makazi ya kukaa, mnawafanyia nini raia kama hawa? Mnaangalia maslahi ya makumpuni wakati wananchi hawafaidki nayo, kila kukicha shida tuu. Au nao waje wafisadi kama nyie, tuimalize kabisa bongo.

    ReplyDelete