Mwanamuziki kutoka Jamaica, Orville Richard Burrell 'Shaggy' akitumbuiza maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika tamasha la Zain kwenye viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakimpiga picha mwanamuziki kutoka Jamaica, Orville Richard Burrell 'Shaggy'.
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki katika tamasha la Zain lililopambwa na mwanamuziki kutoka Jamaica, Orville Richard Burrell 'Shaggy'
No comments:
Post a Comment