August 18, 2008

Mabweni ya Bigwa yaungua moto

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wasichana ya Bigwa inayomilikiwa na Masita wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, wakiangalia baadhi ya vitu vyao vilivyoungua moto uliotokea jana na kuunguza mabweni mawili ya Shule hiyo.

No comments:

Post a Comment