Waandishi wa habari wa HabariLeo na Dailynews wakimpongeza mfanyakazi mwenzao Mgaya Kingoba 'KING' kwa kuadhimisha tarehe yake ya kuzaliwa. Agosti 12 ilikuwa siku ya kuzaliwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Mwantumu Mahiza. Blog hii inawatakia maisha marefu yaliyosheheni busara,amani,upendo na utulivu. Kubwa zaidi wamkumbuke Mola wao.
MBONA WAFANYA KAZI WA DAILY NEWS WAMECHOKA HIVYO
ReplyDeletejamani hiyo kazi manahitaji starehe mnakuwa kama mmetoka mtakuja village. Duniani kama hamuwezi kuvaa basi tena hata lotion pakeni basi . manatisha watu halafu mnakunywaje soda kazini nyinyi kweli africa ovyoooooo no ethics at work.
ReplyDeletewaosha vinywa bwana. kazi kwelikweli.
ReplyDeleteWe kazi za kubeba mabox ndio hawanywi soda kazini hata iweje. Ila si tunaofanya kazi za maana huku nje haya mambo si ya ajabu kwani mtu akiwa anastaafu; or ni b'day or something jolly like that tunakata keki na kupata juice pia. Inaonyesha ufinyu wako wa mawazo
mmechoka mkiambiwa ukweli mnachanganyikiwa . pakeni lotion na mvae jamani aibuuuuuuuuuuuuuuuuu . mimi mtoto wa fisadi
ReplyDelete