August 08, 2008

Byarugaba auaga ukapera

Meneja Masoko wa Benki ya Barcklays , Derek Byarugaba (kushoto) akimvisha pete ya ndoa mkewe Sesy, kwenye harusi yao ya kufana iliyofungwa katika kanisa la Mtakatifu Martha Mikocheni B jijini Dar es Salaam siku ya sikukuu ya Nane Nane.

2 comments:

  1. Mungu awabariki katika Ndoa yenu...

    ReplyDelete
  2. Congratulations Derek & Sesy! Mungu awabariki katika ndoa yenu.

    Robert,
    Gothenburg,
    Sweden.

    ReplyDelete