July 04, 2008

Warembo wa Vyuo Vikuu

Washiriki kumi na mmoja watakao wania taji la Vodacom Miss Vyuo Vikuu 2008 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment