July 04, 2008

Wanyange wa TMK kuchuana Juni 6 2008










Kitendawili cha nani ataibuka Miss Temeke 2008 na kinataraji kutenguliwa Juni 6 2008 katika ukumbi wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam pale warembo 12 watakapo chuana vikali. Pichani ni baadhi ya wanyange hao.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 05, 2008

    Huyo watano mwenye nyekundu mhhh haya yangu macho mimi du ngoja nirudishe comment yangu

    ReplyDelete