Wachezaji wa timu yavijana wenye umri chini ya miaka 17 na viongozi wao wakiingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Julai 17, 2008 na vikombe walivyoshinda. wachezaji hawa na viongizi waliingia Bungeni baada ya Bunge kutengua baadhi ya sheria zake.
Waziri Mkuuu, Mizengo Pinda akifurahia kikombe alichokabidhiwa na nahodha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 , Hamidi Mao (kushoto) kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Julai 17, 2008. Kulia ni Waziri wa habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika.
No comments:
Post a Comment