July 10, 2008

Nipo fiti: ZITTO

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akitoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jana, alikolazwa kwa siku kadhaa kwa matibabu.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 11, 2008

    Nyie wabunge mnaougua na kukubali kupigwa pigwa picha mnajiweka hatarini, mbona watu wengi tu muhimu kwenye jamii yetu wanaugua na hawatolewi picha zao. Mimi Mbunge akipata ajili yoyote kweli toeni picha yake lakini malaria, presha, sukari nk nini kuweka kwenye vyombo vya habari kama vile ugonjwa kapatiwa na mtu. Hizo ni chuki mnajengea Watanzania na maswali ya hapa na pale kwa wale wasio na kazi. Ugua pole Zitto! lakini usipende kupigwa pigwa picha ukiwa unaumwa.

    ReplyDelete