July 15, 2008

NICO yaingia Soko la Mitaji-DSE

Kampuni ya Uwekezaji ya NICO imejiunga rasmni na soko la Mitaji la Dar es Salaam (DSE) . Pichani ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania (NICO) Felix Mosha ambaye alishika kengele na kuzindua rasmi uuzwaji wa hisa zao DSE.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 15, 2008

    Hii safi sana jamani msilaze kichwa nunueni shares mfaidike

    ReplyDelete