July 14, 2008

Mwenge huoo upo Moro sasa

Mazi wa Kijiji cha Vikenge, Kata ya Mzumbe,Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Anociata Katalyeba (kushoto akisoma risala ya historia fupi ya mradi wa utunzanji wa mazingira na upandaji wa miti ya aina mbalimbali ikiwemo mitiki kwa ajili ya mbao kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2008, Shanes Nungu ( hayupo pichani) juzi wakati wa ukimbizaji wa Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Mvomero.
NOTE: Wadau waliosoma Ask Adrian Mkoba Sec School pale Mzumbe Kanisani, Baobab, na nyingine nyingi mkoani Morogoro mnamkumbuka mama yetu.

3 comments:

  1. AnonymousJuly 15, 2008

    Ndio mkuu wenu wa shule nini enzi hizo. Yaani umesikia tu mwenge upo kwenu mbio.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2008

    Nina miss sana halaiki ya mwenge enzi hizo za chama kimoja kweli maisha yalikuwa matamu raba za bure nk

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2008

    Mwaka huu unazimiwa wapi? halafu mpya kweli huo ni mwingine?

    ReplyDelete