KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 16, 2008
Mchezaji mrefu wa soka
Huyu jamaa yawezekana kuwa ndie mchezaji pekee mrefu katika soka Afrika Mashariki na Kati. Anaichezea Tusker ya Kenya. Jezi mgongoni ni 2 nafasi yake ni Beki.
Beleza de fotos! muito bacaqna seu blog! grande abraço do brasil!
ReplyDeleteKiswahili inaelekea ni tatizo kidogo. Huyo sio mchezaji pekee mrefu Afrika Mashariki. Ila anaweza kuwa mchezji mrefu kuliko wote Afrika Mashariki
ReplyDelete