Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Kova ameanzisha kampeni maalum ya kupambana na uhalifu jijini Dar es Salaam na ametoa wito kwa wakazi wa jiji kumpa taarifa mbalimbali za uhalifu katika maeneo wanayoishi. Pia amewataka wananchi kuwafichua askari wanaotaka kitu kidogo(rushwa) ili wakabiliane na uhalifu. Kova ameweka namba yake hadharani +255754034224.
Hicho kitambi kimekaa vibaya
ReplyDeleteila anajua kazi sana huyu jamaa